Mama Tunu Pinda akimpa pole Mzee Athumani Abdala (76) ambaye amevunjika miguu yake miwili kutokana na kugongwa na pikiki Mzee huyo amelazwa katika Hospitali ya Mkoa  Arusha Maunt Meru Mama pnda alifika hospitalini hapo kuwajulia hali wahanga wa Bomu Picha na Chris Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...