ALBERT MBILING’I
MACHI 1973- MEI 2012
Mpendwa wetu Albert ‘Baba K’, ni mwaka mmoja sasa umepita tangu ulipotwaliwa siku ya Ijumaa tarehe 11/05/2012. Ni vigumu kuamini lakini tunamshukuru Mungu Mwenyezi kwa nafasi aliyotupa ya kuishi na wewe. Daima tunakukumbuka kwa upendo, ukarimu na ucheshi wako.
Unakumbukwa sana na wazazi wako Bwana na Bibi C. T. Mbiling’i, Watoto wako Irene, Humphrey, Aloyce na Doreen, Dada zako Beatrice, Getrude, Neema na Happiness, Wadogo zako Charles, Godfrey na Cathbert pamoja na ndugu jamaa na marafiki.
Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele, upumzike kwa amani Amina.
R.I.P kaka you will be missed.
ReplyDelete