Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa Straton Chilongola akimkabidhi Rais wa Press Club Tanzania Bw. Keneth Simbaya mfano wa hundi yenye thamani ya shilling million mbili (2M/=).Makabidhiano haya yalifanyika katika hafla ya kuchangisha fedha za kununua mashine za kudurusu (print)magazeti kanda ziwa ili kupunguza ucheleweshwaji wa kazi zao kutoka Dar es salaam. Kwanza kulia ni Josephine Kulwa, Meneja Mawasiliano NMB na kwanza kushoto ni mwenyekiti wa Press Club kanda ya ziwa Deus Bugaywa
Home
Unlabelled
NMB YAWAPIGA TAFU WANAHABARI WA MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...