Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo (kushoto)
akiwania mpira na beki wa Ruvu Shooting,
Shaban Suzan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Simba ilishinda 3-1. (Picha na Habari Mseto Blog)
Mshambuliaji wa Simba, Amri kihemba akimtoka beki wa Ruvu Shooting
Mshambuliaji wa Simba, Amri kihemba akimtoka beki wa Ruvu Shooting
Kocha Mkuu wa Simba akiteta jambo na beki wa timu hiyo, Shomari Kapombe.
Makocha wazee sasa Ughaibuni kazi hawapati maana mbinu zao zimeshapitiwa na wakati. ManU wanabebwa ndio maana kocha wao mzee msije mkatoa mfano huo.
ReplyDeletenyoo man u wanabebwa na wewe nenda ka bebwe.. na wenger naye mzee full kudoda!
ReplyDelete