Mwenyekiti wa kikundi cha “Mvivu Hadumu” cha Kangani, Makame Kombo, akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kuhusiana na kilimo hicho.
Mkuu wa Idara ya Kilimo Pemba, Amour Juma Mohd, akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kuhusiana na maendeleo ya kilimo cha mpunga.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia bidhaa zitokanazo na nntta, wakati akikagua shughuli za kikundi cha ufugaji wa nyuki Vitongoji.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitoa majumuisho ya ziara yake ya siku mbili kisiwani Pemba, katika ukumbi wa kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Zanzibar, Affan Othman Maalim, akitoa ufafanuzi wakati wa majumuisho ya ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais, katika ukumbi wa kituo cha mafunzo ya amali Vitongoji. (Picha, Salmin Said, OMKR)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...