Katibu wa Chama cha wabunge wa Jumuiya ya Madola barani Afrika, Dr Thomas Kashililah(pili kushoto) ambae pia ni Katibu wa Bunge la Tanzania, Dr Thomas Kashililah akiwa katika mkutano na Uongozi wa Bunge la Lesotho ulioongozwa na Rais wa Seneti, Mhe Chifu Letapata Makhaola (wa nne kulia) wakati Dr Kashililah alipofanya ziara nchini humo ikiwa ni moja ya ziara zake kutembelea mabunge ya Afrika.Wengine pichani kutoka kulia ni Lebohang Fine Maema Katibu wa Bunge,Mhe.Lekhetho Rakuoane, Naibu Spika,Mhe.Sephiri Motanyane Spika wa Bunge, Bi.Mahlape Qoane, Katibu wa Seneti.Wa kwanza kushoto ni Nd.Emmanuel Mpanda, Msaidizi wa Katibu wa Bunge, Nd.Demetrius Mgalami Mkuu wa Itifaki Bungeni (tatu kushoto).Picha na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.
Katibu wa Bunge na maafisa wake akikutana na Makatibu wa Bunge a Seneti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...