![]() |
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi akiongea na Bw. Nxumalo baada ya kuvutiwa na kazi yake ya kumnadi Mfalme Mswati wa Tatu wa Swaziland. |
Home
Unlabelled
MAMBO HALISI YA USWAZI: MFAHAMU KIJANA MWENYE KAZI YA KUMNADI MFALME MSWATI WA TATU WA SWAZILAND POPOTE AENDAPO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
that's why africa will be 3rd world for so many years ahead.
ReplyDeleteJ4
ujerumani
Duh! Hata JK ameachwa hoi. Sijui Bagamoyo hakuna vitu kama hivi nini? Any way, hizi mila za kuutukuza utukufu wa binaadamu kiasi hiki hazipitani sana na utumwa. Ila mdharau mila pia ni mtumwa.
ReplyDeleteAnonymous wa kwanza hii siyo Africa tu. Rais wa Marekani anapoingia mahali buruji huwa linapulizwa kuimba hear comes the chief. Tuache hii tabia ya kudharau vitu vya kwetu.
ReplyDeleteViongozi huwa wanatangazwa wanapoingia.
Hiki kigezo cha kutumwisha watu hakina akili.
ReplyDeleteMkataa mila awa mtumwa, haya we uliye huru katahiri wanawake.
Mkataa kwao mtumwa, babu yako mkongo unafanya nini tanganyika?
Kwao mtu ni pale alipochagua, huo ndo uhuru.
Hii mijitu sijui haisomi DS?
Inawezekana Kijana Mwakilishi wa Mswati III amevutiwa zaidi na kale Kasherehe anakofanyiwa Muswati mwenyewe kila mwaka halafu anachagua TOTOZ mpya!
ReplyDeletewadau mliotangulia hapo juu siwezi kusema mmekosea kwakuwa kutoa maoni ni haki ya kila mmoja wetu
ReplyDeletenafikiri hili tukio ni zuri sana na limependezesha sana na kutufanya tujivunie uafrika wetu
ninajuwa asilimia kubwa ya wenzetu wanaoishi ughaibuni wanapenda ingelikuwa afrika ya leo kama ulaya
lakini mkae mkifahamu afrika tutabaki kuwa afrika na waafrika wake na sio wazungu
mambo ya kuiga kwa wazungu sio kila jambo linafaa kuigwa
jamaa kapendeza na vazi lake asilia na vile vile kapendeza zaidi kwa lugha yake asilia
sisi tutabaki kuvaa suti kuiga mavazi ya watu na lugha za watu hali ya kuwa hatujui vazi la taifa ni lipi
safi sana ankali nimeipenda sana hii ningelipenda kuona mengi kama haya.
DUMISHA MILA ZAKO Usithamini na kudumisha za wakoloni na kudharau zako. Hongera Mswati
ReplyDeleteNimeipenda sana hii
ReplyDeletena sisi inatakiwa kuiga mila za hawa wa Swazi
Kama wananchi wao wameridhia why not?
sioni ubaya wowote ule.
This is pathetic. Look at the stooges who are dressed in western GURB: wajiona wameshafika. Na kama sikukosea wana mcheka Mswazi alo-vaa kitamaduni.
ReplyDeleteThis at least 50 years baada ya uhuru among most sub-saharan so called western labelled countries; na waheshimiwa hawaja-amka. Bwana "kama hujui asili yako na ulikotoka:sidhani utakua na uewezo wa kuona zaidi ya pua yako.Jamani mbona tuna kaazi!
michuzi comment yangu imebaniwa nitairudia bila kuvunja heshima kwa kifupi big up Swaziland kwa kudumisha mila wanaokucheka ni watumwa Africa tudumishe mila zetu popote tunapoenda tusifate ya magharibi wenyewe wameshajichanganya hata hawajijui tena wananchi dumisha mila zetu popote ulipo
ReplyDelete