Mdau akiungana na maelfu ya wapenzi wa Manchester United kumuaga meneja wao Sir Alex Ferguson uwanja wa Old Trafford jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2013

    Duh Hakika mdau huyu amenikonga moyo kwa kuinyanyua juuuu nji yetu tanzania. Hongera mdau.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2013

    Waaaaooow!! am so happy

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2013

    HUYU JAMAA NIMZALENDO WA KWELI ANASITAHILI PONGEZI SANA BIG UP BRA TUKIPATA WATU KAMA WEWE NJE NCHIYETU ITAPAA SANA

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2013

    Nimemkubalii saana!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2013

    Mnaibeba ManU , Taifa Stars je?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 14, 2013

    huyu kweli mdau kwa alichokifanya anastahili pongezi zake bana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...