Mmoja wa wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma akichangia mada wakati wa uwasilishwaji wa mada ya manufaa ya mfuko wa Pensheni wa PSPF |
Afisa Mfawidhi wa PSPF akisisitiza jambo wakati akiwasilisha mada katika Semina hiyo kwa wanafunzi wa UDOM
Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF mkoa wa Dodoma Rahim Hashim akitoa elimu kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo kikuu cha Dodoma kuhusu Mfuko na fursa zinazopatikana ukijiunga na Mfuko wa PSPF.
Sehemu ya washiriki wa semina kuhusu Mfuko wa PSPF iliyofanyika katika chuo kiuu cha Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...