Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini aliyemaliza muda wake Dr.Valentino Mokiwa akimtawaza aksofu Mpya wa Kanisa hilo Askofu Dkt. Jacob Erasto Chimeledya wakati wa ibada iliyofanyika katika kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Mpya wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Dkt.Jacob Erasto Chimeledya wakati wa ibada ya kumtawaza kuwa askofu Mkuu iliyofanyika katika kanisa Kuu la roho Mtakatifu,mjijni Dodoma Leo
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania aliyemaliza muda wake Dkt.Valentino Mokiwa(katikati) akimtambulisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Portal Welby muda mfupi kabla ya kuanza kwa ibada ya kumtawaza askofu Mkuu Mpya wa Kanisa hilo hapa nchini Askofu Jacob Erasto Chimeledya iliyofanyika katika Kanisa kuu la Roho Mtakatifu Dodoma. Picha na Freddy Maro
Kupata hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...