Mkuu wa Kitengo cha uhusiano bi Sara Msika akikabidhi msaada wa shuka 100 na magodoro 30 katika wodi ya wazazi ya chikande
Mkuu wa kitengo cha uhusiano cha SSRA Bi Sara Msika akiwa amembeba mmoja kati ya watoto waliozaliwa katika Hospital ya Genera, wodi ya wazazi ya Chikande mkoani Dodoma..
Wawakilishi wa Mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na SSRA wakikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi katika kituo cha kulea watoto wenye ulemavu wa akili cha Miyuji Cheshire mkoani Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...