Meneja Uhusiano Mfuko wa PPF Bi Lulu Mengele akimweleza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete jinsi mfuko huo unavyosaidi kuendeleza kielimu watoto wa wanachama waliofariki wakati Rais alipokuwa akitembelea mabanda mbalimbali ya mifuko ya Hifadhi za jamii hapa nchini wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Mifuko ya Hifadhi ya jamii yanayofanyika mjini Dodoma.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio. Picha na Freddy Maro
Home
Unlabelled
JK aongoza kilele cha maadhimisho Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
hivi hivyo vipaza sauti vya hapa na hapa, rais anapona masikio kweli?
ReplyDelete