Mkutano wa Internet Forum unaendelea mjini Stockholm kwa siku ya pili, ukijadili mambo muhimu kama upatikanaji wa mtandao kwa watu wote na kwa gharama nafuu (Free access for all) na jinsi ya kuchochea maendeleo ya ubunifu na kutengeneza programu na vifaa vya TEHAMA (Accerelating innovations in ICT for transformative growth)ambayo wananchi wengi watakuwa wana uwezo wa kuvipata na kuvimiliki.
Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa sweden Bi. Gunilla Carlsson akifafanua jinsi gani Mtandao unaweza kutumika katika kuwaletea maemaendeleo wananchi.
Panelist ikijadili “Accerelating innovations in ICT for transformative growth”.
Waziri wa Technologia ya Mawasiliano na Habari wa Sweden Bi. Anna-Karin Hatt, Professor Paula Uimonen, Director of SPIDER wakizungumza na Bw. Wilfred warioba, kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Dr. Jabiri Bakari CEO wa Tanzania e-Governance Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2013

    Huyu Bw Bakari kweli hiki cheo chake kinamfaa kweli. Kama engekaa UCC sasa hivi UCC ingekuwa mbali sana..

    Yeye hakuwa Mkurugenzi lakini wakati alipokuwa akifanya kazi pale, mambo yalikuwa ya ukweli.

    Ninakumbuka timu ya ukweli ilikuwa hivi:

    Jabiri Bakari Kuwe (fINANCE)
    Fabian Mesanga (UTAWALA)
    Vicky Rweyengera (FINANCE)
    Graham Wilson(Marehemu)SOFTWARE ENGINEER)
    Emmanuel Butoto (TRAINING)
    Emmanuel Mbembati ( MASOKO)
    Hunphray Mokiwa( MASOKO)
    Wilfred Warioba ( TRAINING)
    Hii timu hapa juu ilikuwa kabambe. Lakini mambo yalikuja badirika ikaonekana wachapa kazi hawa wanaziba ulaji kwa wengine.Wazo hili liliitafuna UCC mpaka leo.

    Hongera sana Mungu hamtupi mja wake.
    Wote hawa ilibidi wajisikie kuwa sio pahala pao pa kufanyia kazi, wakapisha ilaji.Na wote hawa ukitaka habari zao utafurahi sana na kutaka kuiga namna ya utendaji wao wa kazi.

    Big up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...