Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akimpokea Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22)baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu  kiasi cha shilingi Milioni 100.atakazokabidhiwa hivi karibuni.
 Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu (katikati)akiongea na Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22)(kulia)baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu hivi karibuni kiasi cha shilingi Milioni 100.anaeshuhudia kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha mabasi Ubungo.
 Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(kushoto) akihojiwa na  mwandishi wa habari wa ITV Emanuel Buhohela mara baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 100 hivi karibuni.Kulia ni  Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu.
  Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakimsikiliza kwa umakiini Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "ambaye alijishindia shilingi Milioni 100 Bw.Valelian Nickodemus(22)akiwaelezea jinsi atakavyotumia fedha zake mara baada ya kukabidhiwa rasmi hivi karibuni.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bw.Kelvin Twissa,akimsikiliza jambo mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "ambaye alijishindia shilingi Milioni 100 Bw.Valelian Nickodemus(22)baada ya kuwasili makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo amekuja kukabidhiwa fedha zake za ushindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2013

    M'peni hiyo hela haraka anazihitaji sasa, naweza kutambua uhitaji wake kwa kumwangalia tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2013

    Mmmm jamani! macho yako mdau tafadhali! katokea Kigoma bwana! Sasa anahitaji Morani wa kumlinda la sivyo watamchinja huko kwao.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2013

    haaaah! mtoa mada hapo juu umenichekesha sana. Mie nimefurahi sana ameshinda japo kuwa simfahamu, ende ikawa alikuwa ana matatizo mengi sana na mungu kasikia kilio chake hakika!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2013

    Hii ni paundi alfu arobaini, nipo mamtoni natengeneza paundi laki moja ishirini elfu KWA MWAKA, mdau wa kigoma hongera, uzitumie vizuri zikutunze, pesa unayoitumia kipumbavu kamwe HAIRUDI.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2013

    Wewe Mdau wa 4 Mbeba Mabox na POUND zako 120,000 ya nini kuzilinganisha na POUND 40,000 za Mtanzania?

    Sasa kwa taarifa yako wewe hela yako hata kama ni nyingi inaishia kwenye KODI tena Ugenini (HUKU UKIWA UNAISHI KWA KUBAHATISHA NJE YA SHERIA NA TABU TU) wakati Mshindi atakula Fedha yake kwa raha sana akiwa kwao Kigoma-Tanzania

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 18, 2013

    Zitamfaa jamaa, si Mchezo Mil. 100 zinatosha sana kwa maisha yetu Tanzania ukiachilia mbali hao Makuli wa Uingereza hapo juu na POUND zao wanaolinganisha na huko kwao kwenye Ukuli.

    Jamaa naweza kujenga Gorofa Kiggoma na akafungua biashara nzuri tu na zingine zikabaki.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 18, 2013

    Mshindi atatumia Tsh. 100 Milioni (40,000 POUND) kujenga Uchumi wa Tanzania, lakini wewe Kuli Mbeba maboxi Majuu POUND ZAKO (120,000) ZITAISHIA KWENYE POMBE NA WANAWAKE, wala Tanzania haitanufaika na Fedha zako!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 18, 2013

    Wewe Mtu wa POUND 120,000 acha upumbavu wako hapa!

    Ni mara ngapi Misiba inatokea huko mnaitisha Michango humu Jamvini?

    Acheni sifa za kijinga ohhh mimi Napata POUND 120,000 nani kakuuliza?,,,hapa jadili utamshauri nini Mshindi wa VODACOM hapa Tanzania na POUND ZAKE 40,000 ili apate maendeleo. !!!

    Kuchangia Misiba ni ktk Utaratibu wetu Kiutamaduni na Mila zetu, isipokuwa ndugu zetu Majuu wengi mnaishi maisha ya Kipumbavu BILA DIRA WALA MWELEKEO ingawa mnapata Fedha nyingi kama hivyo unavyosema lakini hazisaidii kitu kutokana na Ubwege wenu!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 18, 2013

    Mdau Mbeba Maboksi kupata Mshahara Mkubwa sio Kigezo cha mafanikio!

    Malengo, Dira na Mipango ndio muhimu ktk maisha.

    Wewe na Pound 120,000 zako huko UK unaweza usifanye kitu cha maendeleo kuliko Mdau wa Vodacom na Pound zake 40,000 hapa Tanzania.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 18, 2013

    ndivyo Mganga wako alivyokushauri?

    Kwa nini hata kama huna angalau ngekopa Tsh. 500,000/= ukapanda Ndege?

    Yaani umeshinda Mil. 100 halafu kutoka Kigoma hadi Dar bado unasafiri kwa basi?

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 18, 2013

    For your info, nina nyumba kadhaa mamtoni, bongoland, mashamba kadhaa, pia nasaidia charitable organisations mbali mbali hapo bongo,mwenye akili alinielewa ya kwamba hela alizoshinda jamaa ni nying kwa mazingira yeyote yale, na asipokuwa makini atazitapanya, mishahara yetu sisi professionals huku mamtoni siyo siri, poleni kama lak moja ishirini imewauma, siipati kwa bure, sikukimbia umande, shule nimepita (inshallah) na sasa navuna matunda, na toka nizaliwe sijacheza bahati nasibu, mishahara siri hapo bongo tu,huku mamtoni siyo siri.
    Kwa miaka ishirini na tano iliyopita nimeacha zaidi ya paundi alfu hamsini hapo bongo kwenye charitable organisations, wala hata siku moja sijatoka gazetini au kwenye TV kutamba, mkono wa kulia ukitoa basi hata wa kushoto usijiue, yu can`t judge me just by reading my single thread, grow up guys.
    Mdau wa paundi laki moja alfu ishirini kwa mwaka.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 18, 2013

    Eti atamaliza kwa pombe na wanawake, mamtoni pombe ni bei rahisi kuliko maji ya chupa, na wanawake hawahongwi kama wa kwenu hapo bongo, kutembea shule.
    Halafu mlivyokuwa hamna uelevu mnafikiri kila mbongo ambaye yupo mamtoni anabeba box, kalaga baho.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 18, 2013

    MTOA MAONI WA (11) MDAU WA UINGEREZA NA POUNDS ZAKO (GBP 120,000)

    -----------------------------------
    For your info, nina nyumba kadhaa mamtoni, bongoland, mashamba kadhaa, pia nasaidia charitable organisations mbali mbali hapo bongo,mwenye akili alinielewa ya kwamba hela alizoshinda jamaa ni nying kwa mazingira yeyote yale, na asipokuwa makini atazitapanya, mishahara yetu sisi professionals huku mamtoni siyo siri, poleni kama lak moja ishirini imewauma, siipati kwa bure, sikukimbia umande, shule nimepita (inshallah) na sasa navuna matunda, na toka nizaliwe sijacheza bahati nasibu, mishahara siri hapo bongo tu,huku mamtoni siyo siri.
    Kwa miaka ishirini na tano iliyopita nimeacha zaidi ya paundi alfu hamsini hapo bongo kwenye charitable organisations, wala hata siku moja sijatoka gazetini au kwenye TV kutamba, mkono wa kulia ukitoa basi hata wa kushoto usijiue, yu can`t judge me just by reading my single thread, grow up guys.
    Mdau wa paundi laki moja alfu ishirini kwa mwaka.
    '''''''''''''''''''''''''''''''''''

    Wewe ni Mkimbizi huna Mshahara wala nini huko, hiyo FEDHA unayosema unapata (GBP. 120,000) ni (LABDA) NI MAFAO YA UKIMBIZI NA SI MSHAHARA WA KAZI UNAYOFANYA.

    (ELEWA YA KUWA HAPA UNABISHANA NA WATU MULTI PROFESSIONALS, AMBAO TUNA UELEWA WA MAMBO MENGI SANA LIKIWEMO BABA LAO WORLD ECONOMY)

    HIVYO USIFIKIRI UNABISHANA NA MABWEGE: KUWA MAKINI KWENYE HOJA ZAKO.

    KWA USHAHIDI HUU /HOJA HIZI (5) CHINI:

    (1.)ULAYA UN-EMPLOYMENT RATE:
    NI KIASI CHA (12.1%)...UKOSEFU WA AJIRA UMEPANDA SANA KULINGANA NA EUROFINACIAL CRISIS (MAMILIONI YA WAZUNGU HAWANA KAZI HADI WANAKIMBILIA KUWA VOLUNTEERS NJE YA ULAYA), HUKU SERIKALI ZAO ZINAZOWALIPA MFANO WATAALAMU MUHIMU ZIKIWA NA MADENI YALIYOPINDUKIA.

    LINK-ULAYA:

    http://europa.eu/rapid/press-release_STAT-13-70_en.htm

    LINK-DUNIA:


    http://www.tradingeconomics.com/country-list/unemployment-rate

    SASA WEWE MAKAME HAPO KWA UKOSEFU WA AJIRA WA 12.1% HUKU UINGEREZA IKIWA NA WATU (POPULATION) YA KAMA 60 MILLION UTAKAA WAPI HAPO KTK KUPEWA KAZI?

    UNA ELIMU GANI YA KUPEWA KIPAUMBELE WAKAACHWA WAZAWA UKAPEWA WEWE MKIMBIZI?

    (2.)KAMA UWEZO WA KIFEDHA UNAO, SASA MBONA NDUGUZO WANAOFARIKI HUKO UK WANAPITISHA MABAKULI KUCHANGISHA USAFIRISHAJI WAKATI WEWE ABRAHAMOVICH AMA BILL GATES WA TANZANIA UPO KUOKOA JAHAZI?, INA MAANA UNAWATENGA NDUGUZO KTK SHIDA KAMA KIFO?

    (3.)MADENI YA SERIKALI ZA NCHI ZA ULAYA (EUROPEAN PUBLIC DEBTS)-AS OF 2013

    LINK-UK/EUROPE:

    http://www.economist.com/blogs/graphicdetail/2013/05/european-economy-guide

    HAPO UK PUBLIC DEBT AS % GDP. NI KATI YA 80% TO 99% UMEONA KIAMA HICHO CHA DENI LA SERIKALI YAKO?,,,(UINGEREZA INAPUMULIA MACHINE HAPO) HALAFU UNADANGANYA UNASEMA UNALIPWA POUND 120,000 KWA MWEZI NA UMESOMA SANA.

    LINK:WORLD,

    http://www.indexmundi.com/g/r.aspx?v=143

    ZIMBABWE YA MWISHO KWA KUWA NA DENI LA DEBT 220% AS OF GDP.

    HUKU LIBERIA IKIWA IMARA YA KWANZA KWA DENI DOGO DUNIA NZIMA KWA KUWA NA DEBT AS OF GDP. 3.3%.

    LABDA UNGESEMA MSHAHARA WA POUDN 120,000 UNAUPATA UKIWA LIBERIA NA SIO UK KULIKO FILISIKA.

    (4.)WASTANI WA MISHAHARA ULAYA-2013

    http://unitedexplanations.org/english/2013/02/04/minimum-wages-in-europe-2013/

    HAPO KWENYE LINK HIYO UK-UINGEREZA NI (POUND 1,244.4) MINIMUM NA SIO UNAZODAI (POUND 120,000)

    SASA POUND 1,244.4 (MINIMUM MSHAHARA) NA POUND 120,000 WAPI NA WAPI?...HUONI UNADANGANYA KWA UKUBWA HUO WA TOFAUTI YA KIPATO?

    (5.)CONCLUSSION:

    HITIMISHO KWA HOJA HIZO (4) JUU WEWE MOJA KWA MOJA NI MWONGO NA MZUSHI PIA UNAFANYA WATU HUMU JAMVINI NI WAJINGA.

    kwa kuzingatia hoja hizo HAKUNA UCHUMI HUO HUKO UK UTAKAO KUPA WEWE MSHAHARA HUO UNAODAI (POUND 120,000) KWA MWEZI WAKATI HALI HALISI KTK UCHUMI WA DUNIA, ULAYA NA HIYO UINGEREZA YAKO USHAHIDI UNAVYOONEKANA HAPO JUU:

    TUPO KUELIMISHANA NA SIO KUTAFUTA SIFA AMBAZO HAZISAIDII KUTUPATIA MAENDELEO KAMA WANANDUGU WATANZANIA.

    Nawakilisha:

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 18, 2013

    Mdau wa MA-POUND (120,000) je Watanzania wanaochangisha kwenye Misiba wakifa huko UK umekuwa ukiwawezesha vipi?

    Kama unadai wewe ni Mtoaji?

    Au unataka kudai ya kuwa Bakuli likipita unakuwa upo zamu kwenye kubeba Maboksi?

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 18, 2013

    Kuli wa Uingereza,

    Mshahara unaopokea ni Pound 120 (POUND MIA MOJA NA ISHIRINI) na sio (POUND 120,000) kwa kuwa hujui Kusoma (HUNA ELIMU) umeongeza masifuri bila kijijua, Mshahara huo POUND 120,000 wanapokea Wachezaji Mpira NYOTA kama akina BALOTTELI na akina GERARD huko Ulaya na sio Bwege Mkimbizi wewe!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 18, 2013

    Yaani Jamaa (MWENYE MA POUNDS) ni mjinga sana.

    Hiyo Tshs. 100 Million inatosha sana kwa kuwa ni kweli tunazo changamoto niyngi, lakini Uchumi wetu si mbovu na wenye 'risk' kihivyo kuliko Ulaya.

    Kwa Tanzania jamaa anaweza fanya mambo mengi tu akafaidika na Fedha zake, wakati Boss wa UK hela hiyo hata kama ni nyingi changamoto za Uchumi wao zitaathiri sana na hawezi fanya lolote akafaidika, labda hizo (POUND 120,000 azilete kuwekeza Tanzania kwenye Fursa lukuki ndio ataona faida yake).

    Sasa hivi kuna mtiririko mkubwa sana wa FDI (Foreign Direct Investments, cha kusikitisha wanaoleta Mitaji yao huku kuwekeza ni Wazungu na wageni wengine tu!, HUKU WATU WANATANZANIA (MADIASPORA) WAKIWA WANAJISIFU KTK MAJAMVI VIPATO VYAO HUKU WAKIWA WAMEYALALIA MAPOUNDS HAYO KWENYE MAGODORO YAO VITANDANI HUKO UINGEREZA!!!

    Ingawa hata kama atakuwa anapewa kwa (Mwaka) MSHAHARA huo GBP. 120,000) bado pana tofauti kubwa sana na hali halisi aliyoshuka Dr. Profess wa Uchumi hapo juu Mtoa Maoni (No.13).

    -Tukizingatia Viwango vya Mishahara kihalisia.
    -Hali halisi ya Uchumi wa Dunia, na hali halisi ya Uchumi wa Ulaya na Uingereza.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 18, 2013

    DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 18, 2013

    Some people suffer from the green-eyed monster called envy.”
    ― Ana Monnar

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 18, 2013

    Mankind are tolerant of the praises of others as long as each hearer thinks that he can do as well or nearly as well himself, but, when the speaker rises above him, jealousy is aroused and he begins to be incredulous.”
    ― Thucydides

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 18, 2013

    “Insecure people put others down to raise themselves up.”
    ― Habeeb Akande

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 18, 2013

    “Use your hater to make you greater!”
    ― Habeeb Akande

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 18, 2013

    “Envy suggests inferiority.”
    ― Wayne Gerard Trotman

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 18, 2013

    “When you beat up someone physically, you get excercise and stress relief; when you assault him verbally on the Internet, you just harm yourself.”
    ― Nassim Nicholas Taleb, The Bed of Procrustes: Philosophical and Practical Aphorisms

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 19, 2013

    “If the grass is greener on the other side of the fence, you can bet the water bill is higher.”
    ― Debbie Macomber, Mrs. Miracle

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 19, 2013


    "Our envy always lasts longer than the happiness of those we envy.”
    ― François de La Rochefoucauld


    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 19, 2013


    "It is in the character of very few men to honor without envy a friend who has prospered.”
    ― Aeschylus

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 19, 2013


    "When I realize that God makes his gifts fit each person, there's no way I can covet what you got because it just wouldn't fit me.”
    ― William P. Smith, Loving Well

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 19, 2013

    Psalm 27:1 The LORD is my light and my salvation; whom shall I fear? The LORD is the stronghold of my life of whom shall I be afraid?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...