Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akipata maelezo kutoka kwa Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Mkoa Rukwa, Mhe. Mustapha Siyani (mwenye tai nyekundu) alipotembelea Mahakama ya Mwanzo Chala mkoani Rukwa alipokuwa akipita asubuhi ya Leo kuendelea na ziara yake Katika mkoa mpya wa Katavi. Pcha na Mary Gwera, Mahakama
Home
Unlabelled
Jaji Mkuu atembelea Mahakama ya Mwanzo Chala, mkoani Rukwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...