Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Balozi Ali Mchumo akifungua Mkutano wa baraza la Wafanyakazi wa Mfuko huo mjini Bagamoyo,mapema leo.
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emanuel Humba (kushoto) na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Beatus Chijumba wakifuatilia nasaha za Mwenyekiti.
Naibu Mkurugenzi Mkuu, Hamis Mdee akitoa neon la shukrani kwa hotuba iliyotolewa na Mwenyekiti wa Bodi.
Wawakilishi wa watumishi wa Mfuko wakifuatilia hotuba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...