Mbunge  wa Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CHADEMA,Mh. Peter Msigwa akishuka katika gari la  polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana  huu.
 Mbunge  Peter Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea  chumba cha mahakama
 Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya  kufikishwa mahakamani  leo
 Watuhumiwa  wengine wa vurugu  za machinga  na polisi  wakishuka katika karandinga la polisi.
 Wakili  wa Msigwa  kulia  akiteta  jambo nje ya mahakama
 Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi  wengine wa chadema mahakamani hapo huku  wafuasi  wao  wakizuiwa nje ya mahakama
 Wafuasi  wa Chadema  wakiwa  wamezuiliwa nje ya viwanja  vya mahakama kuu kanda  ya Iringa  wakati mbunge  alipofikishwa katika mahakamani   mchana  huu
Ulinzi mkali kweli kweli.PICHA ZOTE NA MTANDAO WA MATUKIODAIMA.COM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2013

    Mwandishi ivi nikikuuliza unaushahidi gani kama hawa ni wafuasi wa chadema utanijibu???au huna jina la kuwapa hao watu waliofika hapo mahakamani na ukaamua tu uwape uanachama kabisa??Makosa makubwa haya,huwa yanafanyika mara kwa mara hata wakati ule wa Ponda ni hivyohivyo.Kiuzoefu mkusanyiko huu hujumuisha wanachama na wasio wanachama kama tuwajuavyo watanzania ni wazuri wa kukimbilia matukio.Jirekebisheni kidogo kwa kuripoti kiuweredi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2013

    Watu wengine bwana kwani wakiitwa wafuasi kinakuuma nini?au wewe ndo walewale magamba Watu wanashahuku ya kujua mhafaka wao na nchii yao au kwavile wewe unauwakikana na mshaharara kila mwenzi huwenzi kwenda kwani hayakuhusu mtu nchi yake anakuwa mkimbizi amakweli maishabora kwakila anayejiita gamba sii Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...