Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CHADEMA,Mh. Peter Msigwa akishuka katika gari la polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana huu.
Mbunge Peter Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea chumba cha mahakama
Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya kufikishwa mahakamani leo
Watuhumiwa wengine wa vurugu za machinga na polisi wakishuka katika karandinga la polisi.
Wakili wa Msigwa kulia akiteta jambo nje ya mahakama
Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi wengine wa chadema mahakamani hapo huku wafuasi wao wakizuiwa nje ya mahakama
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamezuiliwa nje ya viwanja vya mahakama kuu kanda ya Iringa wakati mbunge alipofikishwa katika mahakamani mchana huu
Ulinzi mkali kweli kweli.PICHA ZOTE NA MTANDAO WA MATUKIODAIMA.COM
Mwandishi ivi nikikuuliza unaushahidi gani kama hawa ni wafuasi wa chadema utanijibu???au huna jina la kuwapa hao watu waliofika hapo mahakamani na ukaamua tu uwape uanachama kabisa??Makosa makubwa haya,huwa yanafanyika mara kwa mara hata wakati ule wa Ponda ni hivyohivyo.Kiuzoefu mkusanyiko huu hujumuisha wanachama na wasio wanachama kama tuwajuavyo watanzania ni wazuri wa kukimbilia matukio.Jirekebisheni kidogo kwa kuripoti kiuweredi.
ReplyDeleteWatu wengine bwana kwani wakiitwa wafuasi kinakuuma nini?au wewe ndo walewale magamba Watu wanashahuku ya kujua mhafaka wao na nchii yao au kwavile wewe unauwakikana na mshaharara kila mwenzi huwenzi kwenda kwani hayakuhusu mtu nchi yake anakuwa mkimbizi amakweli maishabora kwakila anayejiita gamba sii Tanzania.
ReplyDelete