Globu ya Jamii inatoa mkono wa hongera kwa mwanalibeneke wa mitindo kupitia http://www.8020fashionsblog.com/ Bibie Shamim Mwasha a.k.a Shamim Zeze kwa kufunga ndo leo huko Mji Kasoro Bahari na mai hazbendi wake Bw. Abdul. Hongera dada na Mola awape maisha mema na ya furaha!
Kuonja Aqdi yake ilofanyika Morogoro leo BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2013

    Hongera Shamimu. Ni jambo jema, Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2013

    hongera shamimu ingawa umetunyima ubwabwa huku Dar.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2013

    MashaAllah

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2013

    Hongera Shamimu manake watu walikuwa wanasema ati ni lezibiani kumbe hakuna.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...