Ningependa kuwatangazia fursa hii hapa chini wadau wa maendeleo kutoka pande zote za dunia:
Size: Nine acres
Purpose: Industrial development & suitable for warehouses
Clean Land Title available
Water & Electricity: within good reach & good road
Semi-developed
Price: US$ 155000
Contact: +255784298218 diademev@yahoo.com
Ps
ReplyDeleteHii ni Kibaha Misugusugu karibu na Miami beach USA
USD,???????????
ReplyDeletembona ni ghali sana, kibaha imefikia hivyo ?
ReplyDeleteCome on maaan!!!!! Ingekuwa kibaha mjini industrial area, yes lakini misugusugu kwa bei hiyo, hell to the no. Na hiyo tangazo ya kimombo ndo imefanya kiwanja iuzwe kwa dolali au??????????!!!!!!!!!!!
ReplyDelete