Walevi wa3 walikodi Bajaji, dereva aliwasha bajaji kutaka kuwapeleka wanapokwenda alafu akaizima alipoona wamelewa sana na moyo wake kusita kwamba hatolipwa pesa yake na kutakuwa na utata baadae.
Mlevi wa kwanza alisema asante kwa kutufikisha,
Wa pili alimpa hela,
Watatu alimpiga kofi dereva akamwambia "siku nyingine usiendeshe kwa kasi!!"
So nani aliyekuwa amelewa sana hapo? Wadau tupeni majibu
ReplyDeleteHhahahahahaaa duh hii kali hapo hakuna mwenye nafuu waligawana tu kila mtu na kituko chake lakini ulevi ulikua ngoma drooo
chef Issa
Mlevi aliyelewa sana ni yule aliyotoa pessa kwa kufikiri wamefika.
ReplyDeleteWOTE CHAKARI MKUU
ReplyDeleteDereva
ReplyDeleteWEWE
ReplyDeleteWOTE WATATU tayari walikuwa bwiii! Labda tu kulikuwa kuna kuzidiana kipimo cha unywaji.
ReplyDelete