Sehemu ya wajasilia mali wanaowezeshwa na benki ya NMB wakifuatilia maada zilizoendeshwa wakati wa semina hiyo.
Mkuu wa kitengo cha mikopo midogo na ya kati, Filbert Mponzi akitoa maada kwa wajasilia mali iliyohusu umuhimu wa kuandika mchanganuo wa biashara kwa mjasilia mali.
Mkuu wa kitengo cha Akaunti Binafsi NMB, Abdulmajid Nsekela akielezea huduma ambazo mteja wa NMB anafaidika nazo mara awapo na akaunti na NMB
Bw. Harun Manyama Ungura mwenyekiti wa Mwanza Business Club akifafanua jambo katika mafundisho hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...