Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Taifa Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Chadrick Komba akifafanua jambo wakati wa warsha iliyoandaliwa na
shirika hilo kwa ajili ya mahakimu na wanasheria kutoka Manispaa ya Temeke
jijini Dar es Salaam.
Hakimu Mkuu Mkazi Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Mhe Aziza Kalli akichangia mada katika semina ya iliyoandaliwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa ajili ya Mahakimu, Wanasheria jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia mada.
Mwanasheria Mkuu wa Shirika la Taifa Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF), Chadrick Komba akifafanua jambo wakati wa warsha iliyoandaliwa na
shirika hilo kwa ajili ya mahakimu na wanasheria kutoka Manispaa ya Temeke
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Matelekezo wa NSSF, Shabani Mpendu
na Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo. (Picha na Francis Dande)
Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo akitoa mada wakati wa warsha iliyowakutanisha wadau wa sheria.
Washiriki.
Meneja Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Sosthenes Nguma (kulia) akifuatilia mada katika warsha hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...