Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Butallah akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitangaza zawadi kwa Mshindi wa Kwanza wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar 2013/14,katika ukumbi wa Mikutano wa Kilimanjaro House,Masaki jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt ambao ndio wadhamini wakuu wa Ligi kuu ya Zanzibar,Consolata Adam.
Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam akizungumzia kuhusu maandalizi ya shamra shamra hizo za siku hiyo ya Jumamosi Mei 4,2013 katika uwanja wa Amani, Zanzibar.. 
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Butallah akikabidhi Kombe atakalokabidhiwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar,kwa Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2013

    Kwa faida ya wasomaji, hilo neno MALT hutamkwa molt. (Nawapeni twisheni bila ada) Pia maneno ya kizungu ukikuta yana a na u kama audit, paul,fraud, author,restaurant aghalab hutamkwa o kama ilivyo hapo juu ni odit,pol, frod,otha, restorant

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...