Nyumba ya ghorofa moja inayofaa kwa ofisi inapangishwa eneo la Mikocheni, Dar es salaam karibu na KFC. Ipo mtaa wa Msonge.
Ina ukubwa wa Square Meter 272 na nafasi ya kuegesha magari zaidi ya 20.
Nyumba ina nafasi kubwa, ikiwa ni pamoja na chumba cha mikutano kutosha watu 30.
Bei kwa mwezi ni dola 4000 (USD 4000).
MADALALI HAWAHITAJIKI
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mzee Masawe kupitia 0784 710 022
Ukipanga hapo itabidi uwe umeajiri "security guards" wa kuaminika. Ama sivyo utalia bure kwa wezi.
ReplyDeletemimi nauguwa macho muda sasa sioni vizuri hii nyumba umeandika ya ghorofa moja sasa hiyo ingine ya huu yake haimo kwenye huu ukodishaji anakaa mwenye nyumba au vipi? tafadhali nieleweshe kwani nina shida ya ukaazi kweli aisee.
ReplyDeletemdau.
daresasalaamu.
SI afadhali uchukue mkopo ununue yako kabisa .. $4000? Experts watapanga. Good luck!
ReplyDeleteGood luck kweli! Bongo hiyo, wameibuka!!
ReplyDelete