Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Upendo Singinika akimkabidhi mtoto wa mwanachama t-shirt ya Fao ya Elimu ya PPF kwenye maonesho ya biashara Tanga.
Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Mauricia Mbena akiwaelekeza baadhi ya wageni waliotembelea banda la PPF namna ya kujaza fomu ya uanachama wa PPF katika maonesho ya biashara Tanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...