Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuzungumzia Mustakabali wa maendeleo ya Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam leo.mkutano huo umeandaliwa na asasi ya(The southern African Confederation of Agriculktural Unions(SACAU).Wapili kushoto ni Kaimu Rais wa SACAU Bwana Ishmael Sunga na Watatu kushoto ni Waziri wa Kilimo Christopher Chiza.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria Mkutano utakaojadili Mustakabali wa Maendeleo ya Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam ambao umendaliwa na asasi ya SACAU(The Southern African Confederation of Agricultural Unions).(picha na Freddy Maro).
Wakulima wenyewe wako wapi hapa! Mipango ya kwetu bwana!
ReplyDeleteHirizi begani!
ReplyDeleteDuhhh kuuenzi Utamaduni,Mila na Jadi asilia kwataka moyo.
Mabrazameni hiyo mnaweza?
Naona kuna mtindo wa vazi la taifa! Very simple. PERIOD!
ReplyDeletePicha ya 2 jamaa amekaa 'kimswati mswati' vile, atakuwa ametoka Uswazi!
ReplyDeleteYule jamaaa sijui ndiye Mfalme Mswati!
ReplyDelete