Baadhi ya washiriki wa Shindano la Redd's Miss Ubungo 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao jana. Warembo hao wanataraji kupanda jukwaani Ijumaa ya Mei 17, mwaka huu katika Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar es Salaam na kusindikizwa na kundi zima la FM Academia wazee wa Ngwasuma.(Picha na Mpigapicha wetu).
Home
Unlabelled
Redd's Miss Ubungo 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...