
Rais Kikwete aliyekuwa aondoke kesho kurejea nyumbani, kukatiza ziara hiyo na anaondoka Kuwait City kurejea nyumbani mara moja ili kuwa karibu na wafiwa pamoja na wale waliojeruhiwa katika shambulio hilo la kigaidi.
Miongoni mwa shughuli ambazo hazitafanyika sasa kutokana na uamuzi huo wa Rais ni ziara ya kutembelea Kampuni ya Mafuta ya Kuwait katika eneo la Ahmadi mjini Kuwait. Aidha, Rais hatahudhuria dhifa ya chakula cha jioni ambacho alikuwa anaandaliwa na Waziri Mkuu wa Kuwait, Mheshimiwa Sheikh Jaber Al Mubarak Al Hamad Al Sabah.
Mimi huwa nafurahia sana nchi ya uingereza wanaposaka mtu kama huyo .jeshi huwa linatangaza kuwa no a single stone will be left unturn na kweli unashangaa huyo ndani ya muda.na jeshi letu lijifunze kutangaza msimamo wa kutafuta waharifu kama hao ili kuonyesha commitment yao. tunatarajia watamkamata tu mshenzi huyo.nchi yetu taratibu mwendo wa kinyonga inabadirika.
ReplyDeletePoleni ndugu zangu wote, hii ni hali ya hatari.
ReplyDeleteYes, upendo kwa wananchi wako ndio upendo kwetu kwako Mh Rais.
ReplyDeleteKata raha uje uungame karaha.
'Ameguswa'
ReplyDelete