Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya uongezaji wa virutubishi  vya Vitamni A katika vyakula vinavyo zalishwa Viwandani,Uzinduzi huo ulifanyika katika kiwanda cha kuzalisha mafuta cha Bidco kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimimina  mafuta ya virutubishi  katikia kinu cha kutengeneza mafuata ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Kampeni ya Uongezaji wa Virutubishi vya Vitamini A katika Vyakula vinavyozalishwa  viwandani ,uzinduzi huo ulifanyika jana katika Kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam, kushoto anayeshuhudia ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hemal Shah.
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi ya ndoo ya mafuta yenye Virutubishi  yaliyozailishwa na nKiwanda cha Bidco Mkurugenzi Mkuu wa Chakula na Lishe Bw.Benedict Jeje wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya Uongezaji wa virutubishi katika Vyakaula vinavyo zalishwa Viwandani .Uzinduzi huo ulifanyika katika kiwanda cha Bidco kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam. katikati ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hamal Shah.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia baadhi ya mafuta yenye Virutubishi yanayozalishwa katika kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es Da es Saloaam.kulia ni Afisa Mkuu Mtendaji wa Kiwanda hicho Hamal Shah ,wakati alipokwenda kufanya nuzinduzi rasmi  wa Kampeni mya Uongezaji wa nVirutubishi katika Vyakaula vinavyozalishwa Viwandani.
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa  na Afisa  Mkuu Mtendaji wa  Kiwanda cha Bidco Hamal Shah,moja ya ndoo za mafuta ya kupikia ambayo tayari yamewekwa virutubishi  wakati alipotembelea  kiwanda hicho kuzindua rasmi Kampeni ya Uongezaji waVirutubishi katika Vyakula vinavyozalishwa Viwandani .Uzinduzi huo ulifanyika katika kiwanda cha Bidco kilichopo jijini Dares Salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha  Kutegeneza Mafuta cha Bidco,Bw.Hemal Shah  alipokuwa akielezea jinsi wanavyotengeneza bidhaa zao za mafuata zenye kuchanganywa na  virutubisho vyenye Vitamnini A. Wakati Rais alitembelea kiwanda cha Bidco  kilichopo Mikocheni jijini Dar es nSalaam, kuzindua rasmi Kampeni ya uongezaji wa virutubishi katika Vyakula vinavyo zalishwa Viwandani .
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akikaribishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha  Kutengeneza Mafuta cha Bidco Bw.Hemal Shah  wakati alipokwenda kufanya uzinduzi  rasmi wa kampeni ya uongezaji wa virutubishi  vya Vitamni A katika vyakula vinavyo zalishwa Viwandani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2013

    Hivyo sio jinsi ya kusalimiana na Rais (kumshika), hasa mwananchi wa kawaida anapokutana na kiongozi wa nchi yoyote ile. Wafundisheni watu jinsi ya kusalimiana na waheshimiwa kabla. Hata wakiwa wanapesa bado lazima wafuate utaratibu. Wanaprotoko muko wapo?

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa! nami nimeshangaa kuona hiyo picha! protocol mpo wapi????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...