Mhe Zitto Kabwe anasema amepata muda kidogo wa kuipitia hii rasimu ya 3 nikiwa ya Gesi Asilia akiwa safarini kwenda Tabora kwa shughuli za chama chake cha CHADEMA na ana maoni yake ya awali kama ifuatavyo:
Home
Unlabelled
Rasimu ya Sera ya Gesi Asilia aionavyo Mhe Zitto Kabwe katika maoni yake ya awali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
jAMANI WATANZANIA WATU WETU KAMA MH ZITTO LAZIMA TUWE MAKINI KUWASIKILIZA UNAPOKUJA WAKATI KAMA HUU KWANI SERA KAMA HII INA GHARAMA KUBWA KWA MALI ZA WATANZANIA.
ReplyDeleteDu kama ni hivyo kuna haja ya kuirekebisha haraka iwezekanavyo hiyo rasimu ya gesi asilia na mafuta. TUNAISUBIRI KWA HAMU WANAINCHI TUISOME PIA NA KUTOA MAONI YETU, PIA RASIMU YA KATIBA NAYO TUNAISUBIRI HATUTA LALA MPAKA KIELEWEKE. NAAMINI TUKISIMAMA KIDETE MIAKA IJAYO HAKUTAKUA NA KUKOPA NJE TENA NA BAJETI YETU ITATUTOSHA KWA FEDHA ZA NDANI,VINGINEVYO TUKICHEZA NA KUCHEKA NAO HAWA WATU WATATUACHIA MADENI WAO WAKIWA MBELE ZA HAKI.
ReplyDelete