Mrisho Ngassa wa Simba anafanyiwa faulo na beki Nadir Haroub Cannavaro wa Yanga dakika ya 26 na mpigaji wa penati waliyopata Mussa Mure anampasia kipa Ali Mustafa Barthez ambaye anaudaka kiulainiiii...
hivyo bao bado ni Yanga 1 na Simba 0....
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...