Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akifungua kongamano la tatu
la waandishi wa habari na wadau wa habari mkoa wa Kilimanjaro
lilifanyika katika ukumbi wa ofisi ya mkoa.
Mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahim Msengi akizungumza na wadau wa habari
wakati wa kongamano la wadau na wanahabari lililofanyika katika ukumbi
wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Watoa mada katika kongamano la wadau wa habari na wanahabari wa mkoa
wa Kilimanjaro linaloendelea katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro.kutoka kushoto ni afisa mtendaji utawala wa kiwanda cha
sukari TPC,Jafary Ally ,meneja wa kituo cha Radio cha Kibo fm ,Abdalah
Husein na mhadhiri wa chuo kikuu cha mtakatifu Stephano Moshi
,SMMUCO,Gasper Mpehongwa.
Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...