Saga saga ni eneo ambalo kwa sasa limekuwa maarufu sana kwa kuchoma nyama ya mbuzi,wasafiri wengi wanaotumia barabara kuu ya mkoa wa Morogoro kuelekea mikoa ya Iringa kabla ya kufika mbuga ya Mikumi, wamekuwa wakisimama hapo na kupata nyama choma kama inavyoonekanika pichani.
Mishikaki ya nyama ya mbuzi ikiwa kwenye hatua za mwisho ya kuiva ,mishikaki hiyo inauzwa kwa shilingi 3000 mmoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2013

    Lakini kweli hizo nyama za mbuzi? Sifikiri hapo watu wanalishwa punda, mbwa hata nyamafu utakuta tz siku hatari kula nyama hovyo njiani,

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 27, 2013

    Saafi sana Nyama choma kisha unaendelea na safari. Ila nina ka-swali kadooogo! Je pana Dr anayepimaga huto tunyama manake mh... Aisee! Juzi tu hapa nimeona Dar hapo mmenyweshwa maji - refined shit! na kijana mdoogo!! Itakuwa huku pangu-pakavu!!?
    Pls help....

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2013

    Sili hizi nyma hata kwa dawa. Hapo mnalishwa hata wanyama wengine hata waliokufa mnaambiwa 'mbuzi'

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 27, 2013

    Huku Majuu kwenyewe tunalishwa nyama ya farasi badala ya ngombe.Je bongo itakuwa babu kubwaa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 28, 2013

    Dunia yote imeharibika. Tumia akili: Tengeneza masulufu unaposafiri, hii ndiyo dawa.
    Asanteni

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2013

    Chapati, viazi mihogo ya kuchoma nk haviharibiki, hata wiki nzima viko salama tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...