![]() |
Mishikaki ya nyama ya mbuzi ikiwa kwenye hatua za mwisho ya kuiva ,mishikaki hiyo inauzwa kwa shilingi 3000 mmoja. |
Home
Unlabelled
SAGA SAGA.....MAARUFU KWA MISHIKAKI YA MBUZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
![]() |
Mishikaki ya nyama ya mbuzi ikiwa kwenye hatua za mwisho ya kuiva ,mishikaki hiyo inauzwa kwa shilingi 3000 mmoja. |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Lakini kweli hizo nyama za mbuzi? Sifikiri hapo watu wanalishwa punda, mbwa hata nyamafu utakuta tz siku hatari kula nyama hovyo njiani,
ReplyDeleteSaafi sana Nyama choma kisha unaendelea na safari. Ila nina ka-swali kadooogo! Je pana Dr anayepimaga huto tunyama manake mh... Aisee! Juzi tu hapa nimeona Dar hapo mmenyweshwa maji - refined shit! na kijana mdoogo!! Itakuwa huku pangu-pakavu!!?
ReplyDeletePls help....
Sili hizi nyma hata kwa dawa. Hapo mnalishwa hata wanyama wengine hata waliokufa mnaambiwa 'mbuzi'
ReplyDeleteHuku Majuu kwenyewe tunalishwa nyama ya farasi badala ya ngombe.Je bongo itakuwa babu kubwaa.
ReplyDeleteDunia yote imeharibika. Tumia akili: Tengeneza masulufu unaposafiri, hii ndiyo dawa.
ReplyDeleteAsanteni
Chapati, viazi mihogo ya kuchoma nk haviharibiki, hata wiki nzima viko salama tu.
ReplyDelete