Baadhi ya wafanyakazi wakishiriki katika maandamano yaliyofanyika wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi katika Uwanja wa michezo wa Sokoine mjini Mbey
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi wengine kuimba wimbo wa Solidarity Forever wakati wa maadhimisho ya Sikuukuu ya Wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TUCTA Philemon Mgaya,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mhe.Gaudensia Kabaka, Kaimu Rais wa TUCTA Bibi Nortubunga Maskini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Mh.Abdulrahman Kinana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...