MAKAMU wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (wa tatu kulia) akiungana na
Viongozi wengine katika wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya siku ya
Wafanyakazi yaliyofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar leo.
Maandamano yakiingia uwanjani. hawa ni wafanyakazi wa bandarini wakiingia kwa mikogo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...