Baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Dar es Salaam, waliohudhuria kongamano la elimu kwa jamii ya kupambana na aina zote za unyanyasaji na udhalilishaji lililoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Shikamana, ambapo hutoa mafunzo mbalimbali kwa vijana wa shule za sekondari, Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini.
Juu na chini anaonekana Mwanaharakati wa mambo ya maendeleo ya jamii Joyce Kiria akitoa ushuhuda wa maisha yake kwa wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam, waliofika katika kongamano la elimu kwa jamii ya kupambana na aina zote za unyanyasaji na udhalilishaji lililoandaliwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya Shikamana, ambapo hutoa mafunzo mbalimbali kwa vijana wa shule za sekondari, Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...