Kamera yetu ilimnasa Shoe Shine huyu akipiga kiwi buti za kutembelea kwenye maji za mteja wake maeneo ya Mabibo Soko la Ndizi jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2013

    Kwa hali hii kutakuwa na mtu atakaekubali kurudi kijijini kweli!!ikiwa kama unafuta tope tu kwenye kiatu cha mtu unapata 200 za kununua kipande cha mhogo na kushushia na maji ya mawazo ya DAWASA mchana unapita....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2013

    Siyo shu shain huyo, anaitwa mwosha tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2013

    tutabanana hapa hapa dar vijijini wakee wenyewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...