Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Magesa Mulongo katika Uwanja wa Ndege wa KIA.
Askofu wa jimbo kuu la Arusha Baba Askofu Josephat  Lebulu akizungumza jambo na Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda juu tukio lililotokea hivi karibuni.
Paroko Pedy Kasterino wa paroko ya Tokeo la Bwana Bulka Olasite akimpa maelezo Mhe. spika jinsi mlipuko ulivyotokea katika kanisa la Mt. Joseph Olasite Mjini Arusha.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwafariji katika majeruhi katika Hospitali ya Mount Meru kufuatia Mlipuko uliotokea katika Kanisa la Mt. Joseph Olasite, Mjini Arusha na kusababisha Vifo vya watu 3 kufariki na wengine zaidi ya 60 kujeruhiwa jumapili iliyopita.
Paroko Pedy Kasterino wa paroko ya Tokeo la Bwana Bulka Olasite akimuongoza Mhe. Spika kuangalia eneo mlipuko huo ulipotokea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2013

    Asante sana wabunge kutembelea wahanga.. Lakini nanyi punguzeni chuki za kihitikadi bungeni. Mnawasha hasira za waliowatuma.

    Hebu saidia kuchunguza huyu mtoto Victor. Unaweza kukuta walipuaji walimkodi tu yeye anatafuta riziki.

    Au njaa zake hatujui.

    Hebu saidia kujumuisha mawazo yenu ki pamoja kama mbatia alivyoshauri.

    Watu wetu wanteketea jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...