Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Bw. Raymond Mbilinyi akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar ES Salaam wakati akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha wenye Viwanda Biashara na Kilimo Mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki(Kulia) ni Makamu wa Rais wa TCCIA Taifa, Bw. John Mayanja, katikati ni Rais wa Chama hicho Mhandisi Aloyce Mwamanga na mwisho Kulia ni Katibu Mkuu Bw. Isaac Dalushi.
Rais wa Chama cha wenye viwanda Biashara na Kilimo nchini (TCCIA), Mhandisi Aloyce Mwamanga(Kulia) akimkaribisha Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC ), Bw. Raymond Mbilinyi aweze kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha wenye viwanda Biashara na Kilimo Mkoa Dar es Salaam, mkutano huo uliofanyika mwishoni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...