Ujenzi wa Barabara kuanzia Mji wa Mombo mpaka Hedaru Mkoani Tanga umekuwa ukiendelea kwa kasi tangu pame mradi huu ulipoanza.hali hii inakuna kutokana na eneo hili kuwa na bovu kwa kipindi kirefu,ila sasa ufumbuzi wake umepatikana na mambo yanakwenda vyema.
Wakazi wa Mji wa Hedaru wakiangalia moja ya Katapila likiendelea na kazi ya upanuzi wa Barabara hiyo.
Sehemu ya barabara hiyo ambayo ipo kwenye matengenezo makubwa hivi sasa.
Waswahili sisi bwana watu wapo kazini jamaa wanashangaa nini sijuwi!! au nawao ndio wafanyakazi? laki mbona hawa jamaa hawatolewi hii niuzembe wa makampuni kama haya ya vichochoroni kuwa hawapo strict katika ajira zao nandio maana hakuna Health & safety.
ReplyDeletehalafu utawasikia
ReplyDelete"...miaka hamsini ya uhuru hakuna lililo fanyika"
Maendeleo makubwa. Hivi wana Hedaru mko mkoa gani? Jiografia kidogo tukumbushane wajemeni.
ReplyDeleteHedaru iko Mkoa wa Kilimanjaro. Enzi za Mkoloni ilikuwa ni Mkoa wa Tanga pamoja na Same yake yote.
ReplyDeleteNimekuwa nikiendesha katika barabara hii takriban miaka 2 sasa. Kusema kweli, barabara hii, pamoja na zingine ni nyembamba sana. Ingefaa upana wa barabara uongezwe ili magari yaweze kupishana vizuri. Vilevile ingefaa pajengwe sehemu za waenda miguu maana sehemu zingine wananchi wanatembea kwenye barabara, jambo ambalo ni hatari sana.
ReplyDelete