WASILIANA NA AHMED KWA NAMBA 0712022929
|
Home
Unlabelled
TOYOTA CARINA MPYA INAUZWA, BEI NZURI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
WASILIANA NA AHMED KWA NAMBA 0712022929
|
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ni used sasa upya unatoka wapi?
ReplyDeleteTuwe makini na matangazo kama haya.
hata mie nimeshangaa, ukiangalia matairi yashaanza toka kipara, hata hivyo mdau hajatuwekea bei.
ReplyDeleteumenena itakuwaje mpya na ishaatumika jameni.
ReplyDeleteJmani Michuzi usiwe unaweka tu matangazo bila kuyaaangalia kwa makini. sasa hiii gari ina upya gani mkuu???? Hiii gari ni nzeee kabisaaa. unaposema kitu "kipya" kiwe na wadhifa wa kitu kipya au walau hata karibu na kipya. this car is just as old as me.
ReplyDeletesasa munaposema mpya munamaanisha nini?
ReplyDeleteau kila kitu kinachotoka nje kwa wenzetu wakishatumia vikifika kwetu tunaita vipya?
labda vipya kutumiwa tanzania lakini haimaanishi mpya kutoka kiwandani
twendeni tu tutafika.
muuzaji wacha maneno mengi mpya itoke wapi? kula milioni 4 namimi nikamalizie nianze kuwa mteja wa spare madukani.
ReplyDeleteMpya kutumiwa Tanzania hiyoo.
ReplyDeleteJamani hii gari bado haijauzwa? Mbona nimeanza kuiona siku nyingi...
ReplyDelete