Home
Unlabelled
TRA MBEYA YATEKETEZA BIDHAA FEKI - ITV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mimi jamani huwa sielewi, naomba mnisaidie, hivi bidhaa zisizofaa zinaingiaje nchini to begin with!? mimi nilidhani tuna vyombo ya kupima na kudhibiti viwango sasa inamaana wao ni wazembe? maana wanaacha vipi vitu visivyo faa viingie nchini?? kuna kipindi walipiga marufuku maziwa fulani ya watoto, kuna bidhaa pia wanazo tumia wanawake katika safari zao pia kuna wakati ilitanganzwa kwamba kuna aina ya bidhaa hizo ilikuwa ahifai kwa matumizi.
ReplyDeleteSasa jamani vitu vikisha ingia nchini inamaana vimesha tumiwa na wana nchi, je ni wangapi wamesha vitumia na hivyo wataadhirika baadae, yamkini watapa magonjwa au conditions ambazo kwa sector yetu ya afya jinsi ilivyo haitaweza hata kufanya uchunguzi na kubaini vyazo vya magonjwa au conditions zao.
Mimi mtazamo wangu ni kwamba vyombo vya kudhibiti vichukuliwe hatua kali, kwanini zinaachia vitu visivyo faa kwa matumizi ya wanadamu kuingia nchini!!!
Watanzania inabidi mtafute mbinu mbadala za kuteketeza vitu. Hapo TRA inabidi unyukwe faini ya kuchafua mazingira, two wrongs don't make a right. Silaha zinachomwa moto, bangi moto, tv na waya feki navyo moto, huu ni uvunjifu wa sheria na uchavuzi mkubwa sana wa mazingira.
ReplyDeleteHivi jamani, tangu lini TRA nao wakawa wadhibiti wa ubora wa vipodozi? Pia mnatuchanganya. Kati ya TFDA, FCC na TBS ni nani anayetakiwa kudhibiti bidhaa feki au zenye ubora wa chini? Tunahitaji elimu ya kutofautisha majukumu ya hizo taasisi tafadhali. Maana last week tuliambiwa TBS wameteketeza nondo zisizo na viwango, pia mara kibao tunasikia FCC wametekeza TV au electrical appliances, wakati mwingine TFDA nao huteketeza madawa, sasa nani ni nani kati hili la kudhibiti ubora wa bidhaa hapa nchini?
ReplyDelete