Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah(kushoto) ,Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo kutoka Ujerumani (KfW )Wolfgang Solzbacher (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT Erwin Telemans wakibadilishana hati za msaada wa shilingi bilioni 17 zilizotolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika lake la Kfw jana jijini Dar es salaam ili kusaidia ujenzi wa Hospitali ya Baobab ambayo itashughulikia afya ya uzazi ili kupunguza vifo vya wakina mama na watoto.
Home
Unlabelled
UJERUMANI YATOA MSAADA WA BILIONI 17 KWA UJENZI WA HOSPITALI YA BAOBAB
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...