Wazazi wa watoto wa shule ya Msingi Bunge wanatafuta magari ya kusafirisha watoto wao kurudishwa nyumbani na kila mtoto ataachwa kituo cha basi kilicho karibu na kwao hawafikishi majumbani mwao.
Kila njia inahitajika gari ya muelekeo wa njia hio kusudi wakitoka shuleni ni moja kwa moja kuelekea njia ya kwao wafike makwao mapema.

NJIA YA KWANZA: Ni barabara ya Kilwa Road wanaenda mwisho Mbagala Rangi Tatu ina watoto 15.

NJIA YA PILI:Ni barabara ya Morogoro Road wanaenda mpaka mwisho Kimara ina watoto 15

NJIA YA TATU: Ni barabara ya Nyerere Road wanaenda mpaka Banana ina watoto 4

NJIA YA NNE: Ni barabara ya New Bagamoyo Road ina watoto 4.

Tafadhali wasiliana na Mwanakamati wa Usafiri kwa simu 
na.0713 532440 au 0752 212681

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2013

    mmh! barabara ya Kilwa road. kiswanglish

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 24, 2013

    Jamani mliosoma Bunge Primary enzi hizo ndio mnaoendesha nchi sasa. Isaidieni shule yenu. Halafu majengo yamechoka sana. Fanyeni Harambee kuichangia shule ikarabatiwe.
    Mdau wa Bunge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...