Mabalozi wateule wanne pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria mteule wakisubiri kuapishwa asubuhi hii Ikulu jijini Dar es salaam. Kutoka kulia  ni  Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria mteule Jaji Aloysius K. Mujulizi, Balozi Mteule Wilson Mutaganywa Kajumula Masilingi, Balozi Mteule Chabaka Faraji Ali Kilumanga, Balozi Mteule Mbarou Nassor Mbarouk na Balozi Mteule Modest Jonathan  Maro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2013

    Mbona mama MulaMula hatumuoni. Kulikoni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...