Mdau Patric Ngowi akiwasilisha maada wakati wa clinic ya wajasiliamari wadogo wadogo iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, semina hi iliandaliwa na chuo hicho kwa kushirikiana na Baraza la Uwezeshaji Uchumi la Taifa (NEEC).
  Mjasiliamari Patric Ngowi akipiga picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...