Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2013

    ndugu zetu wa ccm asanteni kwa taarifa hii, hata hivyo naona mmefanya mambo ki-ccm ccm. Kongamano linaanza leo tarehe 17 na nyie ndio mnatuwekea tangazo hihii leo, sasa hapo tutawezaje kufika kama hatukujua kwa angalau siku moja in advance?

    Hata nikitaka kuja sasa hivi kuna process ya kujiandikisha ndio nijue kongamano lilipo, si ndio napoeteza muda zaidi?

    wengi wetu ni wapiga boksi na bila kupanga siku upewe day off ni vigumu kuruka tu na kuondoka kazini. Anyway

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2013

    Kazi zipo tu hata mtu hahitaji makongamano kama ana gamba la kueleweka. Kila jambo siasa hata vitu vya kitaalamu hili tangazo bila kuweka ccm lisingewezekana? Watanzania wa UK mnachekesha sana..Nendeni shule ni aibu kukaa nchi inayojulikana kufanya vizuri kielimu halafu huna hata cheti cha maana..

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2013

    Asanteni CCM UK kwa kutupa habari hii. Chama kubwa ndio inatakiwa kuwa hivi na huu ni mfano wa kuigwa sio kila siku kukaa na porojo nyingi na magamba yenu. Short Notice inaeleweka lakini kwa kuwa sio shughuli yenu nyinyi mmeamua kuchukua jukumu la kututangazia basi tutajitahidi na asante sana. Kweli wengi Ulaya tuna Elimu lakini tunaishia kubeba maboksi kutokana na sababu nyingi ikiwemo Ubaguzi . Event kama hizi zinatupa hope . Hii iko poa sana . Big Up CCM UK.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2013

    kuna mtu alisema rais wetu mfupi humu sasa huyu balozi wa indonesia mbona mrefu sana,acheni nyie kutubeza inabidi tuwaletee viongozi toka nje ndio mjue urefu wetu.
    ccm oyeeee
    mdau.
    ole, pemba.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2013

    SASA MKUU UNATAKA WAPATE VYETI VYA MAANA HUKO UINGREZA KAKA UNAJUA GHARAMA ZA ELIMU HUKO KAKA,ACHA WATAFUTE MAISHA KWA NJIA WANAZOZIJUA WAO WENYEWE KAKA,HALAFU SIKU HIZI VYESTI SIO DILI KAKA KWANI KAMA WABONGO WENGI HAPA NYUMBANI HAWANA KAZI HATA KAMA ANACHETI CHA AINA KAMA UNAVYODHANI WEWE LKN MPAKA LEO WANAFIKIRI NAMNA YA KUJIAJILI ,NA WANAFANYA NA MAKONGAMANO YA WATU AMBAO HAWANA KAZI HATA MAJI MTU HAWEZI KUNUNUA YA KUNYWA AKIWA HAPO KIKAONI ,MADA INAANZA MPAKA ITAISHA KALALA KAMA WASIRA BUNGENI KWANI ANAKUJA AKILI YAKE IPO KWINGINE KABISA.ACHENI KASHFA ,WATU WAMEAMUA KUKIMBILIA KWENYE CHAMA CHA CCM/MAPINDUZI ILI WARUDI TUBANANE HUKU HUKU HUKO UINGREZA MPAKA UWE MZAWA TU,.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...