Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi ya kujiandaa na shindano hilo, litakalofanyika Juni 22 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2013

    Mngetuwekea contact zao hawa mamiss ili tuweze kuleta Posa maana wengine tupo Ughaibuni na tunataka tupate wake wa nyumbani TZ tupikiwe ubwabwa!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2013

    wewe kalaga baho, watakuletea makande.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...